Services

Emergency

Kuzungumza na daktari Kwa njia ya mtandao Mwezi mzima(Online consultation per month)

Unakuwa na uhuru wa kuzungumza na daktari muda wowote utakao

Book An Appointment
Emergency

Kuzungumza na daktari Kwa njia ya mtandao(Online consultation)

Zungumza na wataalamu juu ya changamoto yako upate ufumbuzi

Book An Appointment
Emergency

Dakitari kuja nyubani kwako kwa ajili ya kukufanyia mazoezi tiba (Physiotherapy)

Kuponya misuli iliyoparalyze, na kuimarisha mzunguko wa damu

Book An Appointment
Emergency

Daktari au Nesi kuja nyumbani kwako kwa ajili ya kukupatia dawa kwa njia ya msuli au mshipa(IV or IM medicine adminstration)

Huduma bora kwenye mazingira bora

Book An Appointment
Emergency

Muuguzi kukaa na mgonjwa kutwa nzima(Nurse home stay for a day)

Tunarudisha tabasamu kwa wanafamilia wenye mgonjwa nyumbani

Book An Appointment
Emergency

Kuchukua sampuli za damu na/mkojo Kwa ajili ya vipimo vya maabara( Blood or urine sample collection for laboratory tests)

Maabara zetu ni za kuaminika muda wote

Book An Appointment
Emergency

Daktari au Nesi kuja kwako kwa ajili ya kuweka, kutoa au kubadiri mpira wa mkojo (Urethral catheter insertion, change or removal)

Huduma ya haraka isiyo na maumivu kabisa

Book An Appointment
Emergency

Daktari au Nesi kuja kwako kwa ajili ya kuweka, kutoa au kubadiri mpira wa chakula (Nasogastric tube insertion, change or removal)

Huduma ya haraka isiyo na maumivu kabisa

Book An Appointment
Emergency

Dakitari kuja nyubani kwako kwa ajili ya kukusikiliza kwa ukaribu zaidi(Home visit)

Utapimwa presha,Sukari,mapigo ya moyo na jotoridi bure.

Book An Appointment

17

Specializations

9

Services

1

Doctors

3

Satisfied Patients